Kadi za kidgitali za michango (SMS na WhatsApp), Kadi za kidigitali za mwaliko (SMS na WhatsApp), Mfumo wa kidigitali wa kukusanya michango kidogo kidogo, Tovuti ya tukio, .
KadiSmart inakusindikiza katika kila hatua ya kuandaa tukio lako, ukiwasiliana na wageni wako kwa njia inayowafikia na kuwapa njia ya kisasa ya kuchanga.
Kila mgeni anapokea kadi ya mchango kwa SMS au WhatsApp, yenye link ya kuchanga moja kwa moja. Hakuna tena kubembeleza kwenye group. Tarehe za kukumbusha unachagua wewe!
Michango inarekodiwa papo hapo. Unaona nani amechanga, kiasi gani na nani bado, bila kupost orodha kila siku. Mwalikwa anaweza kuchanga kidogo kidogo.
Kadi ya mwaliko ya kidigitali yenye jina la mwalikwa na QR code ya kuingia, inamfikia popote alipo.
Tovuti ya tukio yenye mahali, tarehe na ratiba. QR code inathibitisha kuwa mwaliko ni halali.
Kiditali zaidi...
Majina na namba za simu za wageni wako.
Kadi za michango na mwaliko zinafika kwa SMS na WhatsApp.
Wageni wako wanaweza kupledge na kuchanga kidogo kidogo. Taarifa za michango zinapatikana papo kwa hapo
Lipa kwa kila mwalikwa. Hakuna gharama za usajili, hakuna gharama za siri โ unalipa tu kwa wale unaowakaribisha.
Tupo kwa ajili yako. Wasiliana nasi kupitia njia yoyote hapa chini.